MAAMBUKIZI YA KUCHA YATOKANAYO NA FANGASI
ONYCHOMYCOSIS
Huu ni ugonjwa unao sababishwa na FANGASI,maambukizi ya ugonjwa huu hushambulia kucha( nail plate).
JINSI YA KUUTAMBUA
Sehemu ya juu ya kucha hubadilika rangi na kuwa kama manjano na panakua pagumu na kwa muda ikikaa bila tiba kucha yote huathirika
TIBA
Tumia vidonge vya Terbinafine 250mg kwa siku kwa wiki 6 hadi 8. kwa kucha za miguu tumia hivi vidonge kwa muda wa wiki 12 hadi 16
au
vidonge vya Itraconazole kwa dozi ya kupumzika 200mg kila baada ya saa 12 kwa wiki 1 kwa kila mwezi
au
vidonge vya fluconazole ,150-300mg mara moja kila wiki kwa muda wa miezi 6 hadi 12
NOTE: Tibu kwa muda wa miezi miwili tatizo la kucha za mikono na miezi sita kwa za miguu
TAFADHALI TOA MAONI YAKO KIPI UTAPENDA KIJADILIWE
asante

thenks sir umenifungua kwa itraconazole tabs,
ReplyDeleteKwanni kucha za mikonon zinatibiwa kwa muda wa miez 2 tu tofauti na za miguuni ni miez 6
ReplyDeleteukuaji wa kucha wa mikononi na miguuni inaweza kuwa sababu,hata blood flow nayo naweza kuwa sababu ya kutofautiana kuwahi kupona hvyo nakuomba nawe kasome zaidi
DeleteThank sir now nimegain something. Mm nasuggest tuwe tunajadili walau common disease and its treatment
ReplyDeletepa1
DeleteThanks a lot Mr Msunda but I have a question,, Kuna mgonjwa katumia fluconazole full dose lkn tatizo bado lipo na kwa sasa anatumia terbinafine lakin pia no any results shida yaweza kuwa Nini?
ReplyDeleteumechukua historia yake vzr? je tatizo lina muda gani?,je anakunywa dawa kwa wakati au kuna dawa zingine anatumia? anafuata taratibu zote za kujikinga? pia kumbuka fangasi yaweza kutibiwa mpaka miezi sita na kuendelea
ReplyDelete