UJUE UGONJWA WA PARONYCHIA
Paronychia ni ugonjwa wa maambukizi sehemu ya kuta za kucha yanayoambatana na maumivu.
Inaweza kutokea baada ya kuumia au kupata jeraha na husababishwa na bakteria aina ya Staphyloccocus aureus. Pia inaweza kutokana na kusababishwa na maambukizi ya fangasi.

 Jinsi ya kuutambua ugonjwa huu:
    Maumivu ya kucha
    kuta za kucha kuvimba                                                         
    hali ya wekundu katika kuta za kucha

 Tiba
kwa tatizo la muda mfupi(acute paronychia)
 Amoxicillin with clavunic acid 625mg(PO) 8 hourly for 14 days.
 PO maana yake ni kwa njia ya mdomo

Kwa tatizo la kudumu au muda mrefu(chronic paronychia) (KAWAIDA HUSABABISHWA NA FANGASI)
 Tiba yake
Cotrimazole cream 1% pakaa sehem iliyoathirika  kila baada ya saa 12 kwa siku 14
pamoja na vidonge vya Itraconazole(PO) 200mg kila siku kwa siku 14 na vidonge vya Clindamycin 300mg(PO) kila baada ya saa 12 kwa siku 14.
NOTE: kwa tatizo la muda na la kudumu njia kutoboa sehemu husika yaweza hitajika (drainage)
JE UNAPENDA UGONJWA UPI TUUJALI?

Comments

Popular posts from this blog

FIRST CAT ONE

monday 2023 evening

cat 1 essay